1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Samia Suluhu Hassan awasili Kenya

Rashid Chilumba4 Mei 2021

Rais Samia yuko nchini Kenya kwa ziara rasmi ya siku mbili. Amepangiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Uhuru Kenyatta na kuhutubia mabaraza mawili ya bunge la nchi hiyo miongoni mwa mambo mengine. Rashid Chilumba amezungumza na mwandishi wa DW aliyeko Nairobi Shisia Wasilwa kuhusu ziara hiyo.

https://p.dw.com/p/3swCx