1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sheikh Ponda Issa bado ashikiliwa na polisi Tanzania

Bruce Amani14 Julai 2020

Katibu wa Shura ya Maimamu nchini Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda bado anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za uchochezi. DW imezungumza na Sheikh Musa Kundecha, Amir wa Shura ya Maimamu Tanzania na ameanza kwa kueleza habari za karibuni kuhusu Sheikh Ponda.

https://p.dw.com/p/3fJ7x