1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Stephen Masele ndani ya Karibuni na Veronica Natalis

Veronica Natalis
2 Juni 2018

Akiwa na umri wa miaka 38, amewahi kuwa naibu waziri wa nishati na madini katika serikali ya awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amewahi pia kuwa naibu waziri katika Ofisi ya makamu wa Rais Tanzania, na kwa sasa anaweka rekodi ya kuwa makamu wa Rais wa kwanza wa bunge la Afrika.

https://p.dw.com/p/2yqXK