1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, Saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
14 Juni 2018

https://p.dw.com/p/2zVzv

-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linaloilaani Israel kwa matumizi ya nguvu za ziada dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina.

-Maandalizi yamekamilika nchini Urusi kwa ajili ya kuanza kwa fainali za kombe la dunia jioni ya leo.

-Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo anatarajiwa nchini China, akiendelea na safari ya kufafanua kilichojiri katika mkutano baina ya Rais Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.