1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuhusu mazungumzo ya muafaka kati ya CUF na CCM

15 Agosti 2007

Ikiwa imebakia siku moja tu kufikia siku ya mwisho ya kumaliza mazungumzo ya kutafuta usuluhishi wa matatizo ya kisiasa Zanzibar, Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekisihi chama cha upinzani cha wananchi CUF kisijiondoe kwenye mazungumzo hayp ili hatimaye wafikie ufumbuzi wa mpasuko wa kisiasa unaoendelea kuweka upogo katika siasa za Zanzibar.

https://p.dw.com/p/CH9d
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa TanzaniaPicha: DW
Mwandishi wetu Hawra Shamte anaripoti zaidi kutoka Dar es salaam.