1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania kuzuia soseji kutoka Afrika Kusini.

Lilian Mtono
7 Machi 2018

Mamlaka ya chakula na dawa nchini Tanzania -TFDA imesema itajiunga na mataifa mengine Kusini mwa Afrika kuzuia uingizwaji wa nyama ya kusindika kutoka nchini Afrika Kusini, zilizobainika kuwa na bakteria aina ya Listeria. Takriban 180 nchini Afrika Kusini tangu 2017. Meneja Uhusiano wa TFDA, Gaudensia Simwanza amezungumza.

https://p.dw.com/p/2tstj