1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yaadhimisha miaka 60 ya Muungano

26 Aprili 2024

Mnamo Aprili 26, 1964 nchi mbili za Afrika, Tanganyika na Zanziba ziliungana na kuunda Tanzania. Licha ya baadhi ya changamoto za awali, muungano bado upo imara. Katika kuadhimisha miaka 60, huu hapa ni muhtasari wa jinsi walivyoanza na namna wanavyoendelea.

https://p.dw.com/p/4fD6M