1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yaanza mgao mkubwa kabisa wa umeme

19 Mei 2011

Leo hii nchi ya Tanzania inaanza rasmi mgao mkubwa kabisa wa umeme, ambapo kwa muda wa masaa 16 kila siku, kuanzia leo hadi tarehe 26 mwezi huu, wakaazi katika miji mbalimbali nchini humo watakosa huduma hiyo muhimu.

https://p.dw.com/p/11JZv
Profesa Ibrahim Lipumba
Profesa Ibrahim LipumbaPicha: Mohammed Khelef

Katika mahojiano haya na Mariam Abdalla, mwanauchumi aliyebobea wa Tanzania, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, anazungumzia athari nyingi za kiuchumi zitakazolipata taifa kutokana na mgawo huo.

Mahojiano: Maryam Abdalla/Prof. Lipumba
Mhariri: Othman Miraji