Televisheni inayotumia intaneti : Tango TV

Sasa moja kwa moja
dakika (0)
Tango TV ni huduma mpya ya kiteknolojia inayounganisha televisheni na mtandao wa intaneti iliyoanzishwa na vijana watatu wa Kitanzania. Zaidi sikiliza hapa kupitia kipindi chetu kipya cha Sema Uvume.

Tufuatilie