1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tundu Lissu ayapinga matokeo

30 Oktoba 2020

Mgombea wa urais wa kwa tiketi ya chama cha upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Antipas Lissu amekosoa utaratibu wa upigaji kura nchini humo na kudai kuwa uchaguzi huo umekosa. Hata hivyo mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi amekanusha vikali shutuma hizo. Video na Yakub Talib

https://p.dw.com/p/3kbL9