1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

Sudi Mnette7 Desemba 2020

Je wachambuzi wa siasa visiwani Zanzibar wanazungumziaje hatua ya chama cha upinzani ACT Wazalendo kushirikiriana na chama tawala visiwani Zanzibar kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa pamoja na kiongozi wa ACT Wazalendo visiwani humo Maalim Seif kuteuliwa kuwa makamu wa kwanzya wa rais?

https://p.dw.com/p/3mJbV

Sudi Mnette amezungumza na Said Miraji ambaye ni mchambuzi wa siasa na ambaye amekuwa akifuatilia siasa za Zanzibar. Je anazungumziaje matukio ya hivi karibuni ambayo wengine wanasema yamesababisha utata?

Sikiliza pia: Dr. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa makamu wa rais Zanzibar

Dr. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa makamu wa rais Zanzibar