1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufukuaji wa makaburi Tanzania

Iddi Ssessanga
26 Machi 2018

Mchezo wa watu kufukua makaburi kwa lengo la kuchukuwa vitu vya thamani wanavyozikwa navyo marehemu pamoja na baadhi ya viungo vya marehemu hao unazidi kushika kasi katika baadhi ya maeneo Tanzania. Katika vidio hii, Ahmad Juma anaripoti kuhusu matukio yaliotokea Kipunguni Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/2v13u