1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhaba mkubwa wa chakula Pembe ya Afrika

6 Julai 2011

Eneo la Mashariki na Pembe ya Afrika linashuhudia hali mbaya sana ya ukame, ambapo kiwango cha watu wanaokabiliwa na njaa kinazidi kupanda, huku mmoja katika kila watoto watatu wakiripotiwa kuwa na utapiamlo.

https://p.dw.com/p/RY15
Eneo la Kaskazini ya Kenya lakabiliwa na ukame
Eneo la Kaskazini ya Kenya lakabiliwa na ukamePicha: Frank Schultze / Brot für die Welt

Sudi Mnette anahakiki sababu za njaa katika maeneo ya Mashariki na Pembe ya Afrika, ambako wakulima na wafugaji wanalalamika kwamba ukosefu wa mvua kwa kipindi kirefu sasa umesababisha ukame na kuliingiza eneo hilo kwenye janga kubwa la njaa.

Mtayarishaji: Sudi Mnette

Mhariri: Othman Miraji