Ujerumani kutoa msaada kwa sekta ya afya Tanzania

Sasa moja kwa moja
dakika (0)
31.03.2016

Waziri wa ushirikiano kimaendeleo Ujerumani ameahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kuzalisha wataalamu wa afya hasa katika kitengo cha ukunga na uuguzi ili kukabiliana na upungufu wa wataalamu hao.

Tufuatilie