1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukataji wa Kilimi au Kimeo

Deo Kaji Makomba MMT_9 Septemba 2019

Karibu katika makala ya Afya yako. Leo tunaangazia tatizo la kukohoa kwa muda mrefu, jambo ambalo baadhi huhusisha na kuwa na kimeo au kilimi kirefu ambacho wamekuwa wakiamini humsababishia mtu kikohozi kisichopona haraka. Kwa mengi zaidi, ungana naye Deo Kaji Makomba

https://p.dw.com/p/3PHIa