1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UN yaitishia Sudan Kusini

Sudi Mnette
1 Juni 2018

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limetoa muda wa mwezi mmoja kwa pande hasimu nchini Sudan Kusini kufikia makubaliano ya amani la sivyo wawekewe vikwazo kwa silaha

https://p.dw.com/p/2ynYg