1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utafiti: Asilimia 79 Tanzania watamchagua Magufuli

Hawa (HON)30 Septemba 2020

Matokeo ya utafiti wa taasisi binafsi ya Trends Dynamiques Consulting Tanzania, yanaonesha kuwa asilimia 79 ya wapigakura watamchagua mgombea wa chama tawala CCM John Magufuli. Na asilimia 19 wakimchagua mgombea wa chama kikuu cha upinzani Chadema,Tundu Lisu.

https://p.dw.com/p/3jE81