1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mafunzo

Vigezo vya kuingia Chuo Kikuu kubadilishwa Tanzania?

Mohammed Khelef
28 Novemba 2016

Umezuka utata nchini Tanzania baada ya Wizara ya Elimu kusema watu watakaoweza kujiunga na Chuo Kikuu ni wale tu waliofaulu Kidato cha Sita. Naibu Waziri wa Elimu anafafanua hilo katika Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/2TOYz
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Tanzania
Picha: DW/K. Makoye

FE: Kinagaubaga - 29/30/02 - Changes in education system in Tanzania - MP3-Stereo