1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana ambao wamejiajiri kwa kufuga kuku Mwanza Tanzania

John Juma
9 Mei 2018

Licha kwamba wao ni wahitimu wa vyuo vikuu, hawakubahatika kuajiriwa. Hivyo waliamua kujiajiri wenyewe. Ili kujua mengi ungana na Dotto Bulendu akisimulia zaidi kwenye makala ifuatayo ya Vijana Mubashara 77-Asilimia.

https://p.dw.com/p/2xPNL