1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana watumia baiskeli kama teksi Shinyanga

Josephat Charo
13 Januari 2019

Katika kujitafutia riziki ya kila siku vijana wa Shinyanga nchini Tanzania wamejumuika pamoja kuunda kikundi kinachotoa huduma za usafiri wa teksi kutumia baiskeli. Veronica Natalis anazungumza nao katika kipindi cha Vijana Tugutuke.

https://p.dw.com/p/3BS5J