1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Visa vya watu kutoweka vyaongezeka Tanzania

10 Julai 2019

Kumekuwa na taarifa za watu mbali mbali kutekwa na baada ya muda kupatikana nchini Tanzania. Tukio la hivi karibuni linamhusisha Alan Kiluvya. DW imezungumza mwanasiasa wa ACT Wazalendo Ado Shaibu na kutaka kujua sababu ya kutokea matukio kama hayo Tanzania.

https://p.dw.com/p/3LqqD