1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahadzabe walalamika kuhusu uvamizi

Josephat Charo
10 Novemba 2017

Lakini kwa sasa jamii hiyo inalalamika kuwa katika tishio la kutoweka kutoka na ardhi yao kuvamiwa na wakulima, wafugaji, wachoma mkaa huku biashara ya utalii ikiwa haiwanuifaishi licha ya wao kuwa sababu ya watalii kufika katika eneo hilo.

https://p.dw.com/p/2nQ21