1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Arusha

29 Aprili 2009

Wakuu wa nchi tano wanachama wa jumuiya Afrika Mashariki EAC, wanakutana hii leo mjini Arusha, makao makuu ya Jumuiya hiyo.

https://p.dw.com/p/HgcX
Rais Paul Kagame, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika MasharikiPicha: AP

Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wake rais Paul Kagame wa Rwanda na kinahudhuriwa na wakuu wote wa Jumuiya hiyo .

Mwandishi wetu Nicodemus Ikonko anaarifu zaidi kutoka Arusha.


Mwandishi: Nicodemus Ikonko
Mhariri: Mohamed Abdulrahman