1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake Shinyanga wapata hati za viwanja

Grace Kabogo
22 Mei 2019

https://p.dw.com/p/3IrdH

Wanawake wa Shinyanga sasa wameanza kupatiwa hati miliki za kimila katika ardhi wanazomiliki ili kuondokana na migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ikiendelea kwa muda mrefu kwenye maeneo ya mkoa huo. Kwa mengi zaidi ungana na Veronica Natalis katika makala ya Wanawake na Maendeleo.