1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wapinzani DRC wasusia mazungumzo ya uchaguzi

Elizabeth Shoo13 Aprili 2016

Makundi kadhaa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamekataa kushiriki mazungumzo ya kabla ya uchaguzi yaliyoitishwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika, Edem Kodjo.

https://p.dw.com/p/1IUQT
Kinshasa, DRC
Picha: Kannah/AFP/Getty Images

[No title]

Mazungumzo hayo yatakayowashirikisha wadau wote ifikapo mwishoni mwa wiki hii yamepingwa vikali na wapinzani wengi. Sudi Mnette amezungumza na Emerie Damien Kalwira, kiongozi wa Umoja wa Wakongo wenye kupigia debe serikali ya mpito (CCT) na kwanza alitaka kujua kwa nini wanapinga kushiriki mazungumzo hayo kwa wakati huu.