1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Eimu ya Masafa kwa Wanawake Tanzania

Veronica Natalis
28 Juni 2018

Wengi huwa na ndoto za kufanikiwa kielimu lakini mila na desturi, mimba za mapema, umaskini pamoja na sababu nyingine mbali mbali huchangia kukwamisha ndoto za wasichana hao. Veronica Natalis anakusimulia mengi zaidi kwenye makala ya Wanawake na Maendeleo

https://p.dw.com/p/30UtY
Tansania - AGAPE Frauenkollektiv - Proteste von Schülerinnen
Baadhi ya wasichana wa shule wanaofadhiliwa na shirika la AGAPE linalopiga vita ndoa za mapema na mimba za utotoni TanzaniaPicha: DW/V. Natalis