1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wiki moja baada ya meli kuzama Zanzibar

16 Septemba 2011

Leo hii (16.09.2011) inatimia wiki moja tangu mkasa wa kwenda mrama kwa meli ya Spice Islander iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba ikisheheni mizigo na idadi ya abiria isiyojuilikana na mamia yao kupoteza maisha.

https://p.dw.com/p/12aGC
Vikosi vya serikali na watu waliojitolea wakifanya kazi ya uokozi Jumamosi ya 11 Septemba 2011, Nungwi Unguja
Vikosi vya serikali na watu waliojitolea wakifanya kazi ya uokozi Jumamosi ya 11 Septemba 2011, Nungwi UngujaPicha: picture-alliance/dpa

Duru zinaeleza kuwa juhudi za uokozi zimesitishwa mpaka nyenzo zaidi zitakapopatikana. Hata hivyo, bado hadi sasa hadithi za mkasa wa meli hii zinaendelea kutolewa. Mojawapo ni hii ya Ali Siasa Khamis, ambaye ni mmoja wa abiria waliokuwamo kwenye meli hiyo na kunusurika.

Mahojiano: Thelma Mwadzaya/Ali Siasa Khamis
Mhariri: Josephat Charo