1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chadema chataka wabunge wake waloapishwa kujieleza

25 Novemba 2020

Chama cha demokrasia na maendeleo kimeweka wazi msimamo wake wa kuwaita wabunge hao kujieleza ni kwa nini walikiuka msimamo wa chama . Hii ni baada ya wabunge 19 kuapishwa na Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai, kama wabunge wa viti maalumu

https://p.dw.com/p/3loBY