1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, CHADEMA iko sahihi kususia uchaguzi?

Mohammed Khelef
8 Novemba 2019

Ni vipi hatua ya chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kujitowa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji - ambao ni wa ngazi ya chini kabisa lakini wenye umuhimu mkubwa na uliopangwa kufanyika tarehe 24 mwezi huu wa Novemba - inaakisi uhalisia wa mambo ndani ya nchi kwa sasa? Mohammed Khelef amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Prudence Karugendo.

https://p.dw.com/p/3SgBF