1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jenerali Ulimwengu azungumzia uchaguzi wa Tanzania

Elizabeth Shoo30 Oktoba 2015

Mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Jenerali Ulimwengu, atoa maoni yake kuhusu uchaguzi mkuu. Kwanza anaelezea alivyoyapokea matokeo kwamba Magufuli ndiye rais mpya wa Tanzania.

https://p.dw.com/p/1Gx1x
Uchaguzi Tanzania
Picha: Reuters/E. Herman

[No title]