1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shule moja Mali yapata umeme wa jua

18 Novemba 2015

Mali haizalishi umeme wa kutosha kusambaza kwa watu wote. Nishati ya jua inaweza tu kuwa mkombozi wa Mali, ndiyo maana mhandisi mmoja kijana ana nia ya kuhakikisha mradi unafanikiwa hasa kwenye vijiji vya ndani.

https://p.dw.com/p/1H84D
DW Africa on the Move 3 EINSCHRÄNKUNG
Picha: DW

Makan Tandina kutoka Mali analeta umeme katika shule