1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Wauzaji wa kalamu wamepata soko kubwa"

Elizabeth Shoo25 Oktoba 2015

Jijini Dar es Salaam mitaa imeonekana kuwa mitupu kwani watu wengi wamekwenda kupiga kura. Mwandishi wetu George Njogopa anasema wauza kalamu wamepata wateja wengi. Kulikoni? Sikiliza ripoti yake.

https://p.dw.com/p/1GtuT
Uchaguzi Tanzania
Picha: Reuters/E. Herman

[No title]