Serikali ya Libya yalikataa pendekezo la waasi la usitishaji mapigano ikiwa majeshi yake yataihama miji yote, ikisema ni uwenda wazimu."
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia leo ataongoza mkutano kati ya serikali kuu na viongozi wa serikali za majimbo ambao unatarajiwa kujadili juu ya mabadiliko ya katiba yanayosababisha mvutano pamoja na vita.
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ameonesha kuamini kwamba,muda umefika kwa Ujerumani kuwa na rais mwanamke.
Hali ya maandamano ya vurugu imekuwa ikiendelea katika kisiwa cha New Caledonia ambacho ni himaya ya Ufaransa kilichoko nje ya nchi hiyo.