Wanajeshi wa Syria wampiga risasi na kumuua mtu mmoja ndani ya Lebanon katika bonde la Mashariki la Bakaa katika kampeni yao ya kuzima maandamano.
Urusi imesema leo kuwa imeviteka vijiji sita mashariki mwa Ukraine wakati wa mashambulizi ya kushtukiza yaliyosababisha kuhama kwa watu wengi.
Israel leo imeendeleza mashambulizi katika maeneo ya ukanda wa Gaza ikiwa ni pamoja na eneo la kusini mwa mji wa Rafah kusini.