Deutsche Welle: Kiongozi wa kundi la kigaidi la al-Qaeda, Ayman al-Zawahri, amesema kundi la Al-Shabaab limejiunga na mtandao huo duniani.
Mamlaka ya Burkina Faso imesema imesimamisha kwa wiki mbili matangazo ya BBC na VOA baada ya kuiangazia ripoti iliyodai jeshi la nchi hiyo linatekeleza mauaji ya kiholela.
Ungana nasi hapa kusikiliza Taarifa yetu ya habari za Ulimwengu asubuhi hii
Chama kikubwa kabisa cha waandishi habari Ugiriki kinafanya mgomo wa sekta zote za habari kwa saa 24. Televisheni na redio za Ugiriki hazikurusha habari zozote na mitandao ya intanet haikuchapisha habari kwenye tovuti.