Baraza la mawaziri la Uingereza litakutana leo kujadaili machafuko yaliyotokea jijini London. Mkutano huo utafuatiwa na kikao cha dharura cha bunge.
#Mapigano makali yaendelea kuutikisa ukanda wa Gaza. #China imetoa mwito wa kuboreshwa uhusiano wake na Korea Kusini .Na Ripoti mpya inaonesha uhalifu wa mtandaoni kutoka nje, umeongezeka nchini Ujerumani.
Suala la mabadiliko ya tabianchi halijapewa uzito mkubwa miongoni mwa masuala yaliyohanikiza ajenda za kampeni katika uchaguzi wa nchini India, licha ya kitisho kilichopo kutokana na mabadiliko hayo.
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema hali shwari ya kiusalama inayoshuhudiwa haina maana kuwa taifa hilo la Afrika Mashariki hali maadui.