Hamas na Fatah hatimae watiliana saini makubaliano ya amani yaliyopokelewa vyema na nchi za kiarabu.
Kwenye Matangazo ya Asubuhi, utasikia Makala mbalimbali ambazo ni pamoja na Afrika Wiki Hii na Vijana wakijadili Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Karibu uungane nasi hapa.
Taarifa ya habari ya asubuhi ya leo inasikika hapa moja kwa moja
Mamlaka ya jiji la Kiev jana Ijumaa iliamuru kuondolewa mara moja wagonjwa katika zake hospitali mbili, kutokana na hofu ya uwezekano wa shambulizi la kombora la Urusi.