Timu ya kandanda ya Ujerumani, Bayern Munich, imemtimua kocha wake, Louis van Gaal, huku ikiwa imebakisha mechi tano kumaliza msimu huu wa ligi.
Baraza la mawasiliano la Burkina Faso limeamuru watoa huduma za mtandao kusimamisha ufikiaji wa tovuti na majukwaa mengine ya kidijitali ya BBC, VOA na shirika la Human Rights Watch, HRW
Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo takribani watu 15 wamefariki katika kipindi cha juma moja lililopita kwenye kijiji cha Kanyabayonga kutokana na njaa+++Misri imewatuma hii leo wajumbe wa ngazi ya juu nchini Israel, katika dhamira ya kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kundi la Hamas
Viongozi kutoka nchi za Kiarabu na Ulaya watakutana siku ya Jumapili nchini Saudi Arabia katika mkutano wa kilele wa kiuchumi pamoja na mazungumzo ya Jumatatu yatakayojadili vita vya Gaza.