Rais wa FIFA Sepp Blatter asema shirikisho hilo la dimba duniani halitokubali kukosolewa kwa kuzichagua Urusi na Qatar kuandaa kombe la dunia
Jeshi la Marekani linapanga kurejea Chad kwa mazungumzo ndani ya kipindi cha mwezi mmoja yenye lengo la kufanya maboresho ya makubaliano ambayo yatatoa nafasi ya askari wake kuweka kambi katika ardhi ya taifa hilo
Takriban watalii 100 ni miongoni mwa idadi kubwa ya waliokwama baada ya mto kufurika katika hifadhi ya wanyamapori maarufu ya Maasai Mara nchini Kenya kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo hayo.
Watu watano wameuawa baada ya Urusi kufanya mashambulizi katika maeneo ya mashariki mwa Ukraine ya Kharkiv na Donetsk. Taarifa hizo ni kwa mujibu wa mamlaka katika maeno hayo.